Pakua App ya Nyimbo Mpya Tz
Tangazo Tangazo Tangazo
Kwako mpenzi wa nyimbo za bongo fleva na mtumiaji wa App ya "Nyimbo Mpya" tunapenda kuwajulisha kua tumefanya marekebisho ya App yetu sasa waweza kudownload nyimbo moja kwa moja katika app yetu mpya iliopo playstore yenye muonekano mzuri na pia unaweza kusikiliza radio na kuangalia video za YouTube kupitia App hiyo

Comments
Post a Comment